Utofauti wa Lugha ilionao ituri ni utajiri unaopaswa kukuza kuishii pamoja na sio kuwa kinbo linaloleta migawanyiko nani ya jamii. Haya ni Maneno Ya Bagamba Arahali, Profesa wa Lugha Na Mtaalamu Wa Tabia Za Lugha. Ilikuwa katika hafla ya tarehe makumi mbili na moja fébruari, siku ya kimataifa ya lugha ya maman. Katika mahojiano haya yaliyotolewa na redio okapi, Profesa Bagamba arahali, anarejea umuhimu wa siku kama hiyo inayotolewa kwa lugha ya mama, lakini pia kwa utofauti wau lugha za ituri, kama kiboreshaji cha amani. ANAZUNGUMZA NA EZECHIEL MUZALIA.
/sites/default/files/2025-02/270225-ps-invitebuniabagambaarahalilanguematelle-00-web.mp3