Regideo Maniema Inapitia matatizo makubwa katika utentenkazi sillage. Hali hii hairuhusu kampuni hii ya umma kuhudumia raia ipasavyo. Inakadiriwa kuwa zaidi ya wakazi elfu mia ine, Regideo maniema inasambaza tu asilimia kumi ya wau hawa maji ya kunywa. Ili Kulizungumzia, Tunamkaribisha Bwana Michel Tshijik, Mkurugenzi wa Mkoa wa Regideso Maniema, Ambaye Anaeezea Mfumo wa Usambazaji wa Maji Katika Jimbo Hili. Anazungumza na Florence Kiza Lunga.
/sites/default/files/2025-02/260225-ps-invitekindumichelthsijikregideso-00-web.mp3