Tunamkaribisha mkuu wa mkoa wa maniema. Mussa Kabwankubi Moïse anapigana vita dhidi ya shule zinazojengwa kwa majani na vibanda katika jimbo lac. Amekabidhi Mabati 11 000 kwa shule katika tarafa 19 katika mikoa miwili ya elimu ya maniema kama sehemu ya ada ya mshikamano wa shule. Mussa Kabwankubi Moïse Anazungumza na Florence Kiza Lunga.
/sites/default/files/2025-05/290525-ps-invitekindugouvmussakabwankubimoïsetolescols_-00-web.mp3