Visa Vya Vifo Katika Mabwawa Ya Kuogelea Vinazidi Kurekodiwa Kote Katika Jiji la Bunia. Kisa cha hivi punde zaidi kilianzia jumapili, tarehe makumi mbili na mbili machi, wakati kijana wa mika makumi mbili Alikufa baada ya kuzama kwenye kibwi cha kuogelea katika uwanja huo. Je, Tunawezaje Kuzuia ajali kama hizi katika maeneo haya ya umma, ambayo pia yanatembelewa na watoto? Hili ndilo swali ambalo redio okapi ilimuuliza Robert ndjalonga, mratibu wa Huduma ya ulinzi wa raia Huko ituri. Anajibu Maswali Ya Jean Claude Loky Dile.
/sites/default/files/2025-03/010425-ps-invitebuniarertndjalongaprotectioncivile-00-web.mp3