Thon mpokea leo Hugue Katembo, kama mwalikwa wetu wa siku. Huyu ni kiongozi wa mradi ya jibu kwa janga za mafuriko ya mto mjini Kindu, jimboni Maniema. Mradi Iyi yatekelezwa na Shirika la haki za mtoto, mwanamke na wanaume wajane, MIDEFEHOPS. Familia 800 ya waasiriwa wamefaidika tayari na msaada wa kipesa ili kuwa ruhusu wajenge mahali pengine watakako ishi kwa usalama. Hugue Katembo, Hutoa Maelezo zaidi Alipo Hojiana de Florence Kiza Lunga.
/sites/default/files/2026-07/1307026-kindu-invite_sw-hugue_katembo_fin_projet00.mp3





