Kuigeuza Goma kuwa mji wenye mazingira bora na ustahimilivu zaidi, na linalovutia watalii wengi zaidi, huo ndio lengo la mashirika sabini ya mahali. Mashirika haya yali saini tarehe 25 juillet mkataba wa mazingira wa mji huu. Kupitia mkataba huu, yanalenga kuunganisha nguvu ou ili kulinda mazingira katika shughuli zao za kila siku. Kundi hilo linajumuisha vyombo vya habari, shule za msingi, vyuo vikuu, wafanyabiashara, na vyama mbalimbali. Ili kuzungumzia hili, tunampokea Prince Kihangi, mratibu wa shirika la “Les Écologistes RDC” na mwanzilishi wa mkataba huo. Anajibu maswali kutoka kwa Rosalie Zawadi.
/sites/default/files/2026-07/26072026_-_goma_invite_swahili_charte_ecologique.mp3






