Ofici ya usafiri majini imepata meli mpya ya kuweka alama za uelekezi baharini kwa ajili ya eneo Lake la Lualaba-Ubundu-Kindu. Hii ni ya kwanza ya aina hiyo katika kipindi cha zaidi ya miaka 40. Tunazungumza na mkurugenzi wake wa kiufundi, ambaye anaelezea faida za kifaa hiki cha kiteknolojia kwa eneo la Lualaba na mikoa husika. Mgeni Wetu, Cédric Luc Tchumbu, s’est occupé de Florence Kiza Lunga.
/sites/default/files/2026-07/1207026-kindu-invite_sw-tchimbu_sedrique_luc00.mp3






