Jimboni Maniema, wakati wanafunzi wakiwa likizoni, shule zaki Anglikani zaendesha vikao ili kuandaa mwaka wa masomo 2026-2027 unaokuja. Mkutano wa hivi karibuni wa walimu ulifanyika mjini Kindu. Ilikuelewa lengo la jitihada hii, tuli muhoji Zacharie Masimango Katanda, Askofu wa Dayosisi ya Anglikana ya Kindu. Ana jibu katika mazungumzo haya naye Florence Kiza Lunga.
/sites/default/files/2026-07/2307026-kindu-invitesw_zacharie_katanda_masimango00.mp3




